habariii

habariii

paua

Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
6
Reaction score
1
jaman nilikua nauliza eti naona watu wakishaweka sukari kwenye chai anaweka na NDIMU, hv ndimu inasaidia nn?
 
inaaminika kuwa dawa ya asili kukabiliana na shinikizo la damu...sijui dawa hii ina ufanisi kiasi gani, lakini inaaminika hivyo hapa Tanzania kwa baadhi ya watu ofkoz
 
Back
Top Bottom