P paua Member Joined Nov 25, 2012 Posts 6 Reaction score 1 Dec 6, 2012 #1 jaman nilikua nauliza eti naona watu wakishaweka sukari kwenye chai anaweka na NDIMU, hv ndimu inasaidia nn?
jaman nilikua nauliza eti naona watu wakishaweka sukari kwenye chai anaweka na NDIMU, hv ndimu inasaidia nn?
U Ubungo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,282 Reaction score 322 Dec 6, 2012 #2 Ni habari au swali?
50thebe JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 4,088 Reaction score 4,059 Dec 6, 2012 #3 inaaminika kuwa dawa ya asili kukabiliana na shinikizo la damu...sijui dawa hii ina ufanisi kiasi gani, lakini inaaminika hivyo hapa Tanzania kwa baadhi ya watu ofkoz
inaaminika kuwa dawa ya asili kukabiliana na shinikizo la damu...sijui dawa hii ina ufanisi kiasi gani, lakini inaaminika hivyo hapa Tanzania kwa baadhi ya watu ofkoz
P paua Member Joined Nov 25, 2012 Posts 6 Reaction score 1 Dec 6, 2012 Thread starter #5 aisee thanks mkuu 50thebe!!