Elections 2010 HabariLEO lashuka uzalishaji Nakala 6,000 tu!

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Posts
1,526
Reaction score
323
Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo! Wakati Mwananchi limezidisha uzalishajikutoka nakala 50,000 mpaka 70,000 wiki hii.

Kwa mwendo huu HabariLEO wanaliua wenyewe!!
 
Hizo nakala 6,000 ailimia kubwa zinanunuliwa na taasisi za umma kwa lazima....Nadhani Uhuru wanatoa nakala 500 tu kwa sasa
 
Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo! Wakati Mwananchi limezidisha uzalishajikutoka nakala 50,000 mpaka 70,000 wiki hii.

Kwa mwendo huu HabariLEO wanaliua wenyewe!!
Serikali ya ccm huwa haipata hasara. sana sana kusababisha hasara
 
UHURU watakuwa wanatoa nakala kama 235 tu hivi
 
Je Mtanzania na RAI? habari nilizopata Mtanzania linapigania kufikia nakala 2,500 na RAI 5,500! Hii habari ni 100% true!!!
 
Hata Shigongo watu wamemsusia yale yake baada ya kujitia mwanamtandao wa JK...wanauza kama nakala 2,000 tu za udaku
 
Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo! Wakati Mwananchi limezidisha uzalishajikutoka nakala 50,000 mpaka 70,000 wiki hii.

Kwa mwendo huu HabariLEO wanaliua wenyewe!!
hata hivyo naona kama bado wanauza nyingi! Ilibidi zisinunuliwe kabisa!
 
Mwananchi na Mwanahalisi ndiyo magazeti pekee yanayochapisha nakala nyingi (ukiachia yale ya Shigongo) -- nakala karibu 70,000 kila toleo kwa wakati huu, ikifuatiwa kwa karibu na Tanzania Daima, Nipashe na Raia Mwema na Majira.

Na ndio maana serikali ya CCM inatishia kuyafungia Mwananchi na Mwanahalisi kwa sababu ujumbe unaotumwa unawafikia watu wengi zaidi kuliko propaganda zao katika Habari Leo, Uhuru, D. News, na yale mengine yanayojikomba na yale yanayofadhiliwa na wahindi mafisadi kama vile Jambo Leo, Changamoto, Tazama, Hoja, Sauti ya Umma etc.
 
Nani anunue magazeti yanayoandika uongo kila siku iendayo kwa Mungu. Tuyaache yafe kifo cha kimya kimya.
 
Kuna siku JK alishawahi kuzungumzia faida zaidi ya matumizi? Usipojali matokeo ya kodi yako shauri yako........
 
Hili gazeti mimi nalifananisha na yule waziri aliyekuwa msemaji wakati wa vita vya Bush (mtoto)na Saddam, alikuwa anaitwa Ally, sikumbuki jina la pili ila waamerika walimuita " Chemical Ally" jamaa wakati majishi yake yakipata kichapo, yeye alikuwa nasema ndio yanatoa kichapo! sasa ndio Habari Leo, wakati CCM wanapumulia mipira wao wanasema Chadema ndio wanapumulia mipira!
 
Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo! Wakati Mwananchi limezidisha uzalishajikutoka nakala 50,000 mpaka 70,000 wiki hii.

Kwa mwendo huu HabariLEO wanaliua wenyewe!!

kuna watu wanalipa hiyo deficit ila baada ya hapo vibarua vya hao vibaraka vitasitioshwa for sure.
 
Ukweli ni kwamba tunaoumia ni sisi mama tunalipa kodi ili liwepo...so haliwezi kutoweka maana kodi zetu ndio maisha yao usioni wanatumia kodi yetu kuchakachua demokrasia
 
habari leo wana......., was.....
wanaporomoka, wanaanguka, wakati wakipigania kibarua cha mleta mizaha Ikulu.
 
Chema chajiuza na kibaya chajitembeza....huo ndiyo ukweli.........wasomaji wa magazeti siyo wajinga wanataka taarifa zenye maana.........
 
Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo! Wakati Mwananchi limezidisha uzalishajikutoka nakala 50,000 mpaka 70,000 wiki hii.

Kwa mwendo huu HabariLEO wanaliua wenyewe!!

Alafu hizi si kodi zetu au? Pumbaf sana hawa watu!
 
Back
Top Bottom