Serikali ya ccm huwa haipata hasara. sana sana kusababisha hasaraHabari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo! Wakati Mwananchi limezidisha uzalishajikutoka nakala 50,000 mpaka 70,000 wiki hii.
Kwa mwendo huu HabariLEO wanaliua wenyewe!!
ahaaaaa hi kali
hata hivyo naona kama bado wanauza nyingi! Ilibidi zisinunuliwe kabisa!Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo! Wakati Mwananchi limezidisha uzalishajikutoka nakala 50,000 mpaka 70,000 wiki hii.
Kwa mwendo huu HabariLEO wanaliua wenyewe!!
Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo! Wakati Mwananchi limezidisha uzalishajikutoka nakala 50,000 mpaka 70,000 wiki hii.