Elections 2010 HabariLEO lashuka uzalishaji Nakala 6,000 tu!

Tehe magazeti ya rangirangi ya shigongo nayo uzushi mtupu. hilo habari leo lishakuwa habari JUZI.
 

Alikuwa anaitwa Muhammad Saeed al-Sahhaf na si Chemical Ally. Chemical Ally was a Ba'athist Iraqi Defense Minister, Interior Minister, military commander and chief of the Iraqi Intelligence Service. He was also the governor of occupied Kuwait during the Gulf War.Muhammad Saeed al-Sahhaf wa IRAQs INFORMATION MINISTER na ndo alikuwa mbishi
 
Niliwahi kuandika thread humu kuhusu jambo hili baada ya kuzungumza na muuza magazeti. Tena yeye aliniambia bayana kuwa yale magazeti yanayoandika habari mbaya za Dr Slaa ndio hayanunuliwi. Aliniambia huwa anauza Mwananchi, Tanzania daima, mwanahalisi, na Raia mwema tu.

Alinionyesha jinsi alivyo na marundo na marundo ya magazeti yaliyobakia. Nilipomuuliza kuhusu gazeti la uhuru aliniambia kuwa aliacha kuliuza kabisa na huwa haliweki kwenye order zake maana halinunuliki.

Hii habari umeandika hapo juu ni ya kweli kabisa na wala sina wasi wasi nayo.
 
labda wabadilishe vichwa vyao vya habari front page viwe kama
  • mafisadi sasa wakae chonjo na utawala wa slaa
  • watz kunufaika na mpango wa afya na elimu bure wa serikali ya slaa
  • sekta ya madini sasa kuwanufaisha watz ndani ya miezi 6 ijayo
  • ushindi wa kikwete wategemea kura za maruhani
hapa watauza nakala za kushindana na mwananchi,raia mwema.tz daima na mwanahalisi
 
Kwakua HabariLeo ni gazeti la serikali, basi kama wameshindwa wao serikali mpya italibadilisha na kulifanya likubalike..:smash:
 

Nakala zinazouzwa hazifiki 2000 kwa siku, nakala zilizobaki wanarudishiwa.
 

Mkuu, nimekukubali hapa! true 100%
 
Wameyataka wao wenyewe, kwa hiyo wamejiua wenyewe! Watanzania wa leo hawataki mambo ya udaku kwenye magazeti ya serikali.
 
Kwa jinsi lilivyo gazeti la Habarileo na uhuru halifahi hata kufugiwa vitumbua habari ndio hiyyo.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 

nadhani umemix. Kulikuwa na al sahaf mzee wa propaganda na chemical ali. Alsahaf nilimkubali. Sasa ndio makina rai, habari leo, mzalendo, uhuru n.k
 
niko moshi kwa zaidi ya wiki mbili sijaona hazeti la lostam aziz ****, yaani mtanzania
 
Hao jamaa sidhani hata kama wanajali mauzo maana hayo magazeti ni ya serikali, yanategemea ruzuku zaidi. Kwa maana nyingine ni kwamba kodi zetu ndio zinatumika kulizalisha, na siajabu ukakuata yanafikishwa popote nchini kwa hizi kodi.
 
Watanzania wameichoka CCM na mambo yake yote! Yaani kila kilicho na mkono wa CCM sasa kinachefua watu!
 
Isiishie hapo tu koz haya magazeti yanafanya kazi kwa kodi zetu na kama wanajiendesha kwa hasara then inabidi watimuliwe wote mpk Mhariri mkuu ili waje watu wenye uwezo wa kujuiendesha kibiashara wafanye kazi hapo. Wasiegemee upande wowote....wawe wakweli kama Mwananchi....
 

Another Kura ya Maoni.

Kama gazeti linashadadia CCM na halinunuliki, basi huna haja ya kuamini porojo za Synovate na Redet
 
hawawezi kuliua kwa sababu wao wanapata pesa za bwelele za EPA walizoiba ccm na kikwete lakini pia wanapata ruzuku kutoka kwa Mafisadi km rostam,lowasa,chenge na vinyamkela vingine km hivyo.....kwa hiyo hawawezi kufilisika hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…