Habari zenu wana JF. Mi hapa ni mgeni na kuna baadhi ya vitu sijavijua sana, nitashukuru sana endapo nitapata mtu wa kua ananielekeza japo kidogokidogo jinsi mambo yanavyoenda humu ndani. Natanguliza shukrani zangu.