hon daniel killion
Member
- Jun 29, 2024
- 7
- 8
Jibu swali kulingana na alivyotaka, labda ungeuliza kwanini hivyoKama alifaulu vizuri form 4, aombe kwenda chuo kikuu ili achukue digrii badala ya kupoteza muda kwa kusoma diploma ambayo tayari anayo.
Ndio inawezekana hakuna shida kabisaHabari zenu humu ndani,
Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private ingawa qualifications anazo.
Mimi nimejibu hivyo kulingana na uzoefu wangu katika wizara ya afya, yeye aliyeuliza atanijibu.Jibu swali kulingana na alivyotaka, labda ungeuliza kwanini hivyo
Mkuu uzoefu wako hauna msaada kwenye swali lake, Yeye kauliza kama Muhitimu wa kidato cha Nne 2018 ambaye alisoma diploma je anweza kusoma diploma nyingine sasa ?Mimi nimejibu hivyo kulingana na uzoefu wangu katika wizara ya afya, yeye aliyeuliza atanijibu.
Nimekuachia wewe umjibu.Mimi nimejibu hivyo kulingana na uzoefu wangu katika wizara ya afya, yeye aliyeuliza atanijibu.
Mimi sijuiNimekuachia wewe umjibu.
Muambie arudie form 4, maana hata hiyo diploma anaenda rudia.Mimi sijui
Hamnazo tu hapaMuambie arudie form 4, maana hata hiyo diploma anaenda rudia.
Ahsante mkuu