Nakushauri kwa akili yangu ndogo tu fanya utafiti wa hapo uliko kama hao costume wako kama hio bithaa yako wanahiitaji.
Pili usijaze ma rasta peke yaje dukani mix na mambo mengine maana siku demand ya hizo rast ikishuka lazima stock ikukabe dukani.
Ni hayo tu machache ila tambua hesabu za kwenye karatasi sio sawa na real