Habarini wanajamii

Karibu sana

Je unafikiri wewe ni great thinker kama jukwaa hili linavyotaka.

Kipi unachokifahamu tuanzie ambacho unaweza share na wanajukwaa.
 
Ahsanten sana ndugu zangu...Nmemiss Tanzania ,Nmekimiss Kiswahili
 
Karibu sana

Je unafikiri wewe ni great thinker kama jukwaa hili linavyotaka.

Kipi unachokifahamu tuanzie ambacho unaweza share na wanajukwaa.
Ndio mm ni great thinker thats why nikaamua kujiunga humu..

Lkn kwa kuwa bado ni mgeni humu naomba niwe mpole kwanza sababu waswahili husema "IVUMAYO HAIDUMU"[emoji5]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…