Mr Multpurpose
Member
- May 14, 2023
- 24
- 14
Wapendwa habarini tuna stock ya tan 35 ya dagaa wachafu kwa ajili ya chakula cha mifugo .so natafuta soko lake Asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingependeza ukaweka maelezo ya kutosha, uko wapi na unauza Bei Gani Kwa tani na pia ukaweka mawasiliano Yako hapa.Wapendwa habarini tuna stock ya tan 35 ya dagaa wachafu kwa ajili ya chakula cha mifugo .so natafuta soko lake Asanteni
Umeniwahi mkuu..NakaziaIngependeza ukaweka maelezo ya kutosha, uko wapi na unauza Bei Gani Kwa tani na pia ukaweka mawasiliano Yako hapa.
Mifugo ya kisasa inahitaji chakula kilochotengenezwa kitaalamu- ubora wa mchanganyiko ni muhimu sana. Unaposema Dagaa wachafu una maana gani? Wameoza? Wamevunda? Tatizo lao ni lipi?Wapendwa habarini tuna stock ya tan 35 ya dagaa wachafu kwa ajili ya chakula cha mifugo .so natafuta soko lake Asanteni