Habarini za hasubui, naombeni msaada wa ushauri na namna ya kuandika proporsal media organiser

kinyongo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
39
Reaction score
9
Wana JF wale wenye utaalamu na uzoefu wa kuandika Proporsala ya Media Organizer kwenye Mashirika na makampuni Mbalimbali, namaanisha kwamba nataka kuwa Afisa habari wa kujitegemea, hivyo naombeni ushauri na namna ya kuandika hiyo proporsal,.
 
peleka kwenye jukwaa husika la elimu
 
Back
Top Bottom