Wana JF wale wenye utaalamu na uzoefu wa kuandika Proporsala ya Media Organizer kwenye Mashirika na makampuni Mbalimbali, namaanisha kwamba nataka kuwa Afisa habari wa kujitegemea, hivyo naombeni ushauri na namna ya kuandika hiyo proporsal,.