Jaribu kwangu ni tofautiNimechunguza na Nina ushahidi wa hii kitu kwanini waume za watu wakiwa na mchepuko anambana saana Yani sielewi hii imekaaje ni wivu au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo, jaribu uone tofautiMmmmmmh
Huwa hukosei mkuuWahenga wanasema:- "Mafahali wawili hawakai zizi moja" Jogoo mwenyewe hana mtetea anaemmiliki lakini ana wivu.