Fibanochi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 476
- 1,018
Hello wana JF, mimi ni member mpya humu nimejiunga karibia week tatu nyuma lkn kulikua na shida ya hii app, ilikua ukisign in unakuta hakuna chochote kinachotokea, leo kama zari imekubali na im so happy to be here. Nimekuwa nikifatilia mijadala na mada mbalimbali humu ndani, as a "guest" kwakweli nimevutiwa sana. Hopeful mtanipokea kwa mikono miwili......