Habarini

Fibanochi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
476
Reaction score
1,018
Hello wana JF, mimi ni member mpya humu nimejiunga karibia week tatu nyuma lkn kulikua na shida ya hii app, ilikua ukisign in unakuta hakuna chochote kinachotokea, leo kama zari imekubali na im so happy to be here. Nimekuwa nikifatilia mijadala na mada mbalimbali humu ndani, as a "guest" kwakweli nimevutiwa sana. Hopeful mtanipokea kwa mikono miwili......
 
Karibu ila jitahidi usichanganye lugha kama kiswahili andika kiswahili kama kiingeleza andika kiingeleza

Karibu sana
 
Mkuu karibu sana,jiskie uko nyumbani,ukitaka furaha utaipata hapa,ukitaka ushauri ndio penyewe,povu la omo ndo ucseme.
 
Mkuu karibu sana,jiskie uko nyumbani,ukitaka furaha utaipata hapa,ukitaka ushauri ndio penyewe,povu la omo ndo ucseme.
Asante mkuu...hy ya povu la omo nimeipenda sana ha ha ha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…