HABARINI!.

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Salaam wakuu wote,
Baada ya kuwa mfuatiliaji wa muda mrefu nimeona ni vema nikaungana nanyi wanajamii,hivyo naombeni mnipokee kama mgeni wenu humu ndani,
Shukrani sana kwa wote.
Wasalaam.
 
Sasa wew jitu la kiume unaweka picha ya kike unatuchanganya bana unaona mdau hapo juu kasema nenda inbox akijua wew mwanamke kumbe wew ni kidume... Nenda inbox ukaombwe choo
 
Sasa wew jitu la kiume unaweka picha ya kike unatuchanganya bana unaona mdau hapo juu kasema nenda inbox akijua wew mwanamke kumbe wew ni kidume... Nenda inbox ukaombwe choo
Mkuu hiyo hio ni picha tu kama wewe mwenyewe ulivosema lakini jinsia ipo clear ukiangalia utaona hapo kwenye gender hapo,sidhan kuna kitu kinachanganya mkuu
 
Njoo pm nikupe mbinu za kuish vzr jf naamin utazipenda na utanipenda krb
 
Inachanganya wakuu wanajua wewe ni ke
Lkn ukitaka kujua jinsia si unaangalia tu fasta hapo nadhani ndio njia sahihi,maana wengine wameweka picha za vitu tofaut km watoto, wanyama nk au
 
Khaa kumbe ni me

Duh kumbe nimeita mgudume pm

Hata ucje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…