Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kilichomponza hiki hapa
Kwa Wasiomfahamu- Habib Mchange ndiye mmiliki wa Gazeti hilo, Ni Mtu anayeshikilia nafasi ya pili kwa Kumtukana Mzee Lowassa Matusi ya nguoni wakati ule wa kampeni za Urais 2015, Namba moja ilishikwa na Nape Nnauye.