Uchaguzi 2020 Habib Mchange ajitosa kugombea Ubunge jimbo la Kibaha Mjini kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Habib Mchange ajitosa kugombea Ubunge jimbo la Kibaha Mjini kupitia CCM

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
Habibu Mchange achukua Fomu na kurudisha kugombea Ubunge Jimbo lake la Kibaha Mjini asindikizwa na mkewe.

Mungu ni mwema.

======

Leo tarehe 15 Julai 2020, nimechukua, kuijaza na kuirudisha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi (CCM) kuwa mgombea wa ubunge jimbo la KIBAHA MJINI

Tuombeane.
Pichani nikiwa na mke wangu mpenzi.
WAKATI WA MUNGU, NI WAKATI SAHIHI

20200716_073312.jpg
 
Back
Top Bottom