Habibu Kiyombo mchezaji aliyeonekana kuwa na Kipaji cha Kutisha kuanzia Simba B na baadae Mbao FC alionyesha cheche za Kufunga mabao kadri alivyojiskia, Wachambuzi uchwara wa Soka wakamjaza Upepo akajaaa misifa kama puto, akaaanza kusema Simba siyo type yangu kwanza inaua Vipaji huyooooo SOUTH AFRICA kukipiga Mamelodi, kufika huko huyoooo kikosi cha vijana mara huyoooooo mchangani.
Akaja Eliud Ambokile wa Mbeya City akapewa kila aina ya Sifa, magoli akayatia nyavuni, akaziona timu za Kariakoo kama viazi mbatata wachambuzi uchwara wakamjaza bichwaaaaa akawa kama balooon la kichina huyooooooooo TP Mazembe. Taarifa za kuaminika ni kwamba hajawahi hata kufunga goli akiwa mazoezini. Mwishowe huyoooooooooo karudi MAFIAT Mbeya kwa Usafiri wa lori la mizigo toka Zambia.
Sasaaaaaaa nyie akida Dauda, Oscar, Kitenge Et Al hivi uchambuzi wenu kwa wachezaji walioshuka Viwango kwanini huwa mnaowaona akina Gadiel Maiko, Kakolanya na Ajibu tu kisa wako Simba.
Kwanini hatuwaskii mkiwachambua hao Vijana wetu mliowarubuni waende huko walikoenda na leo maisha yamesanda mnajifanya kama hamjui mlivyowapoteza? Mungu anawaona nyie akina Daudaaaa.