Habibu Kiyombo na Eliud Ambokile

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
Habibu Kiyombo mchezaji aliyeonekana kuwa na Kipaji cha Kutisha kuanzia Simba B na baadae Mbao FC alionyesha cheche za Kufunga mabao kadri alivyojiskia, Wachambuzi uchwara wa Soka wakamjaza Upepo akajaaa misifa kama puto, akaaanza kusema Simba siyo type yangu kwanza inaua Vipaji huyooooo SOUTH AFRICA kukipiga Mamelodi, kufika huko huyoooo kikosi cha vijana mara huyoooooo mchangani.

Akaja Eliud Ambokile wa Mbeya City akapewa kila aina ya Sifa, magoli akayatia nyavuni, akaziona timu za Kariakoo kama viazi mbatata wachambuzi uchwara wakamjaza bichwaaaaa akawa kama balooon la kichina huyooooooooo TP Mazembe. Taarifa za kuaminika ni kwamba hajawahi hata kufunga goli akiwa mazoezini. Mwishowe huyoooooooooo karudi MAFIAT Mbeya kwa Usafiri wa lori la mizigo toka Zambia.

Sasaaaaaaa nyie akida Dauda, Oscar, Kitenge Et Al hivi uchambuzi wenu kwa wachezaji walioshuka Viwango kwanini huwa mnaowaona akina Gadiel Maiko, Kakolanya na Ajibu tu kisa wako Simba.

Kwanini hatuwaskii mkiwachambua hao Vijana wetu mliowarubuni waende huko walikoenda na leo maisha yamesanda mnajifanya kama hamjui mlivyowapoteza? Mungu anawaona nyie akina Daudaaaa.
 
Hao wapiga ramli tu niliwauliza mbona michezo ya Olympic hamjambo!Hawa kuwa na Majibu mara ohoooo
 
Wameharibu sana
Nalog off
Yaaani wapuuuzi sana, leo Israel Mwenda anakuja Simba wameanza upuuuzi wao ooooh kaenda kuuua kipaji. Wanashindwa kututajia Mchezaji yeyote aliyetoka nje ya Nchi bila kupita simba na leo anacheza ligi kubwa duniani.
 
Mchambuzi anaejua sayansi ya mpira ni mwalimu kashasha wengine ni waganga njaa weledi hakuna. Sikiliza redio nyingi pendwa zimejaa watu wenye bias sana na chambuzi zao havina mvuto wa kisayansi hawana analyst knowledge, wanapuyanga shule ya mpira na michezo hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…