Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Hahahahaha akakutane na mike.Kyombo karidhika sana pale Simba, anahitaji changamoto mpya. Tumpeleke Mashujaa halafu awe chini ya uangalizi maalumu wa yule mpuuzi aliyefungiwa, ajue maisha ya mwanaume ni harakati siyo kuchekacheka tu halafu juhudi zero.
Atachezea vitasa, akitoka pale wamoto kama MbappeHahahahaha akakutane na mike.