Hackers hatari duniani waidukua serikali ya Uganda

Du hatari Sana hawa ma bwana ,wanakuambia "stand for what is right even if it means standing alone"
 
Anonymous ndo hao au Kuna wengine
 
I wish wangefanya yao huku kwetu Texas mwaka jana.
 
Me hata sielewi, wengine wanasema fake news wakati huohuo hawana real news aseee!!.

UPI NI UKWELI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…