Hacking (Chuo Unique Academy)

Hacking (Chuo Unique Academy)

tztz

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2021
Posts
274
Reaction score
253
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa.

Vipi kuhusu hicho chuo cha unique Academy upanga pale kwa delivery ya content practical wise Ili dogo awe nondo akijiongeza.
 
Watu hawatakusaidia kama hutaja kwango cha elimu ya dogo,pia alisoma masomo gani secondary? isije ikawa arts pure!
 
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa.

Vipi kuhusu hicho chuo cha unique Academy upanga pale kwa delivery ya content practical wise Ili dogo awe nondo akijiongeza.
Hacking ni kama safari ni passion kama ilivyo programming. Mtu anajifunza na ianchukua muda na experience na muda kujifunza vitu vingi na mifumo inavyofanya kazi. Mtu atakupa basics hata huko shuleni lakini 90% ni mtu mwenyewe kusoma na kujaribu.
 
Asante
 
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa.

Vipi kuhusu hicho chuo cha unique Academy upanga pale kwa delivery ya content practical wise Ili dogo awe nondo akijiongeza.
Kama amelenga kujiajir na kuwa nyoko kabisa aende hapo unique kama anawaza ajira na kuwa wa nidhanu aende hapo udom
 
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa.

Vipi kuhusu hicho chuo cha unique Academy upanga pale kwa delivery ya content practical wise Ili dogo awe nondo akijiongeza.
Ok
 
Mwambie aje Unique, full bata, full masomo. Hakuna yale mambo ya utanijua mimi ni nani, na mambo ya hovyohovyo kutoka public
Shukrani mkuu ngoja nije inbox unipe details kidogo zitakazo msaidia dogo
 
Back
Top Bottom