Hacking (Chuo Unique Academy)

Unique ndio chuo gani si useme tu D. I. T??!
 
Unique ndio chuo gani si useme tu D. I. T??!
Unique Academy n chuo kikongwe cha IT Tz kiko upanga zamani nlisikiaga kilikuwa ndo funika kwa mambo ya IT kibongo bongo kwa Sasa sjui ndo nlitaka nipate ABC za wadau na ushauri wa vyuo vingine
 
Dogo kamaliza form six kasoma PCM ufaulu division one ya mwisho
Ni passion Mzee wangu hakuna Chuo kinafundisha hizo mambo 100% sana sana utaambua 25% Ila yeye mwenyewe akiwa na passion basi hata Hana haja ya kwenda huko Chuo mwambie aingie online Havard University wanatoa hizo course bure bila kulipia asome ABC basi YouTube ndio darasa lake computer ndio kitendea kazi chake Google ndio njia ya safari yake kwa kuanzia Linux aijue vilivyo naamanisha Kali Linux
 
Shukrani sana mkuu
 
Ada anayo au anakutegemea maana asije akawa anataja tu chuo amekuona google
 
Ada anayo au anakutegemea maana asije akawa anataja tu chuo amekuona google
Sjaomba ushauri wa Ada mkuu please elewa ushauri niliomba usiingize agenda nyingine ambayo ww haikuhusu masuala ya Ada n ya Familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…