Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

Sijawahi muona, simfahamu but still hapa nilipo namkumbuka bado,
his smile, his laugh, his height, his face features na esp his strong arms.
Ningekua najua kuchora nina picha kabisa. It is going to be hard to forget him aisee.
 
hujacheat bana.lakini inasemekana mtu huyaota mawazo yake,sijekuwa kweli unamtamani stranger-teh teh msome Ngabu apo juu
 
Erotica hongea kwa kufikishwa butt real kulala ukaota unafanya au unafanywa ina maana umelala na jini na limekudo. Tena ukifuatilia kwa makini haya majini yanajua kukufanya ufike kilelen kuliko hata mwenzi wako na hii ni kama ndiyo njia yao ya kumwin huyo mwenzio. ANGALIA SANA yasije yakakuzalisha mtoto. manake yakiendelea yatakutia mimba na utaota kama ni mjamzito for somtimes kisha baadae utaota unanyonyesha mtoto ujue hapo yamekumimba na kukuzalisha mtoto jini hivyo utaongeza idadi ya majini duniani.

pia yakikupenda sana basi yanaweza kukufanya la relationship utakayokuwa nayo isidumu hata kama ni ndoa basi iwe na maugomvi tu yasiyo na sababu au hata job ukajikuta kazi haziend wala hupati hela. Ni mabaya sana haa majitu. Nenda yakaombewe yatoke kabla hayaja chafua mwili wako. huwa yanakuchafua mwili kwasasabu ya wivu manake kama alivyo mwanaume wa kawaida hapendi kuna mwenzi wake ana mwanaume mwingine ndivyo yalivyo na haya.
 
ndo maana nimebaki nawanda,haiwezi kuwa sawa na kucheat,ila huenda sina uhakika kuna jinamizi lilikujia ndotoni na likakufanya ukweli ndo maana nikakutel nenda sehemu za kiimani,kama church,manyaunyau...chagua wewe ila mungu zaid
Sikwepeshi sante.
 
Last edited by a moderator:

mtotowamjini wewe ndio umenipata kabisa. Akija mbele yangu

hapa sidhani kama nitakua na nguvu ya kumkataa!
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi muona, simfahamu but still hapa nilipo namkumbuka bado,
his smile, his laugh, his height, his face features na esp his strong arms.
Ningekua najua kuchora nina picha kabisa. It is going to be hard to forget him aisee.

I fit that profile to a tee.
 
When you have the luxury of sleeping with a stranger in your dream
You don't go for cockroach style bwana... hapo umeni let down kidogo
But for the rest nadhani huja cheat. You are fine. Ulilala mchana?

Mwali ile style alileta shemeji yako unadhani nina hamu ya style nyingine yoyote?

Hadi ndototoni nilitaka missionary. Alafu hivi mara ya kwanza una ubavu wa kutumia

style zaidi ya traditional? Labda nikimuota tena tutabadilisha.
 
Last edited by a moderator:
ID yako tu na unachoandika ni directly proportional!!
i like it!!:behindsofa:
 
Sijawahi muona, simfahamu but still hapa nilipo namkumbuka bado,
his smile, his laugh, his height, his face features na esp his strong arms.
Ningekua najua kuchora nina picha kabisa. It is going to be hard to forget him aisee.

litakuwa jini si kitambo litakuvurugia ndoa.
 
Last edited by a moderator:

Hii habari mbaya hii. Raha yote ile unaniambia ni jini? Kuna ubaya nikiwa nafanya

bila kujitambua hivo? Si linakuja lenyewe siliiti kwa hio sio dhambi?
 
It seems nyuma ya akili yako una wish kuwa na mwanaume mwenye "strong arms" au boyfie wako mlege?

lemonade si entateni mwanaume lege. Nimetaja mikono sababu nakumbuka nilinote hilo kuhusu yeye ndotoni.
 
Last edited by a moderator:
Hii habari mbaya hii. Raha yote ile unaniambia ni jini? Kuna ubaya nikiwa nafanya

bila kujitambua hivo? Si linakuja lenyewe siliiti kwa hio sio dhambi?
Next time huyo jini akikutokea mpe number yangu ya sim
Maana mimi hapa sina boyfriend, hakuna kitakacho haribika.
 
Mwali ile style alileta shemeji yako unadhani nina hamu ya style nyingine yoyote?

Hadi ndototoni nilitaka missionary. Alafu hivi mara ya kwanza una ubavu wa kutumia

style zaidi ya traditional? Labda nikimuota tena tutabadilisha.
Kweli ile style chiboko! hadi ndotoni umekua makini. hahahaha
 
Next time huyo jini akikutokea mpe number yangu ya sim
Maana mimi hapa sina boyfriend, hakuna kitakacho haribika.

teh teh teh. sina hakika i want to share my toys with you. :A S-baby:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…