Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

Hii habari mbaya hii. Raha yote ile unaniambia ni jini? Kuna ubaya nikiwa nafanya

bila kujitambua hivo? Si linakuja lenyewe siliiti kwa hio sio dhambi?

Sasa naona wewe unahitaji shule hapa, kwanza hatya majini wanawake wengi huwa tunayaita kwa stail zetu za maisha ukiuliza wanaojua vizuri kukaa uchi muda mwingi wanakupagawa pia kuna baadhi ya vitu kama wanja na apambo ya kike ambayo yanawafanya wakupagawe. pia kufanya nalo linakuharibia mwili wako manake utafurahia kutiwa tu lakini mambo mengine ya muhim kwenye life kama kazi na mafanikio yanaharibu. wengine hata watoto yanawanyima na iakitoka umebeba mimba basi yana muua mtoto, au mume. siyo mazuri kabisa. usipende kukaa kwa staili za kutiwa tiwa tu yatakuingia kweli na utaanikumbuka
 
Hongera Erotica

unajua sana kutumia ulichopewa.

Nakuja unifunze ujuzi.
 
Last edited by a moderator:

Jini mahaba...........
 
gfsonwin mpenzi leo naona sikubaliani na wewe kabisa
ni vile tu mi sijui kubishana lakini this idea of jini mahaba
mi naona kama ni danganya toto fulani, like bogeyman...
 
Last edited by a moderator:
majini yamekulamba. nenda kaombewe. usipofanya hivyo, huwa yana wivu sana, yatakugombanisha au kukupa nuksi usipendwe au kupendana na wanaume wa kawaida. pia, ukozaa mtoto yanaweza kumuua. au yanaweza kukuzuia kizazi usizae pindi utakapokuja kuolewa....nakupa pole sana.
 
gfsonwin. Kitu kimoja wapo ambacho naweza jipongeza kwa Mungu ni bahati.
Ninajua nina bahati hilo nazungumza bila ubishi na with confidence. Maisha yangu ni mazuri na
naweza nisiwe juu sana ila najua kuna watu wakiniona wanatamani wao ndio wangekua ni mimi.
Moja ya kitu napenda katika maisha yangu ni SEX! Na hivo kama nilivosema ikitokea nina kiu ni aidha
nijishibishe kwa kupitia ka boyfie, au nifanye selfservice au ndio hivo mawazo yananipeleka kwenye ngono
usingizini. Sioti nangonoka mara ka mara, ila once in a while hua naota na hua naona raha kama vile
nimeingiwa live. Hio mara nyingi hutokana na pale sijakutana na mtu mda mrefu. Akiwepo
boyfie hata sioti sababu kila tupatapo nafasi twajibanjua. Swali kwako kigezo
gani unatumia kusema ni majini na si reflection ya mawazo yangu yalioelemea ngono kwa wakati huo?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin mpenzi leo naona sikubaliani na wewe kabisa
ni vile tu mi sijui kubishana lakini this idea of jini mahaba
mi naona kama ni danganya toto fulani, like bogeyman...

Mwali sitaki wala tubishane, ma dia ila its true kabisa naku pm nikupe mchapo
 


Mweeee! :sleepy:
 
awww NN, Don't make me cheat again. (Are they really really big?)

Oh yeah...like, when I wear a polo shirt I don't even need to flex for you to see them. Those barbell and dumbbell curls have paid off big time.
 
Mwali sitaki wala tubishane, ma dia ila its true kabisa naku pm nikupe mchapo
Mbona tunaota tunakula, tunakunywa, tunafanya kazi, tuna cheza?
they are all normal human functions that we perform while awake
Kwa nini mtu mzima akiota anafanya mapenzi inakua ni jini mahaba?
Huoni kama ni mbinu tu ya wazee kutukataza kuendekeza hizo ndoto?
 
Oh yeah...like, when I wear a polo shirt I don't even need to flex for you to see them. Those barbell and dumbbell curls have paid off big time.


aawww NN you are tempting me. Can you use the dance floor inavotakiwa? Plz say no!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…