OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja.
Hivi punde tumemkosa chup chup IST mmoja alikuwa anaingia barabarani kubwa huku anaongea na simu.
Hii ni kasumba mbaya sana ambayo wengi wetu tunayo. Kuna wakati dreva anaongea na simu ya kawaida tu haina dharura yeyote.
Epusha ajali zisizo za lazima, utakufa uache watoto na familia. Utakufa utuachie mkeo tumtafune bila huruma