HADHARI: Usiongee na simu ukiendesha gari, utakufa utuachie mkeo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Huwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja.

Hivi punde tumemkosa chup chup IST mmoja alikuwa anaingia barabarani kubwa huku anaongea na simu.

Hii ni kasumba mbaya sana ambayo wengi wetu tunayo. Kuna wakati dreva anaongea na simu ya kawaida tu haina dharura yeyote.

Epusha ajali zisizo za lazima, utakufa uache watoto na familia. Utakufa utuachie mkeo tumtafune bila huruma
 
Kwahiyo wanaume tu ndo wana kasumba ya kuongea na simu barabaranii?

Anyway ujumbe umefika pahala pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…