Hadhi/Wadhifa wa baba wa Taifa unatambulika kikatiba?

Hadhi/Wadhifa wa baba wa Taifa unatambulika kikatiba?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Nina maswali yafuatayo kuhusu hadhi au wadhifa wa baba a Taifal

1.Je,wadhifa huu uko katika katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

2.Kama haupo sababu ni nini au ni wadhifa usiostahili kuingizwa katika katiba?

3.Katika mataifa mengine wadhifa huu uko kikatiba?

4.Kama wadhifa huu haupo kikatiba,si busara sasa ukaingizwa katika katiba mpya?

Najua hatutarajii kuwa na baba wa Taifa zaidi ya Mwalimu Nyerere lakini ni busara kama katiba ya nchi itatambua wadhifa huo kama ilivyo kwa Raisi wa nchi,Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu na nyadhifa zingine za kitaifa.
 
Back
Top Bottom