Tetesi: HADHI YA RAIS. hii si timu sahihi ya kuongozana nayo!!

Tetesi: HADHI YA RAIS. hii si timu sahihi ya kuongozana nayo!!

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,693
makonda

msiba

kibajaji

msukuma



Nashangaa sana daktari mzima unashauriwa na kuwa beneti na watu wa aina hii!??

Tatizo ni nini!?
 
Mambo ya PhD ya cashew nut shell liquid (CNSL) hayo
 
Watu wa kanda hii wanapenda sana kupokea majungu,makundi, umbea migogoro na unafiki badala ya utaalamu na utendaji kazi. Ndivyo hivyo hata makazini. Utakuta mpambe mwenye tabia ya kupeleka udaku kuwa na nguvu kuliko wakubwa zake.

Kumradhi kwa niliowakwaza.
 
Kumbe ana PHD🤔...
Mi nikajua anaongozana nao maana wana elimu sawa🙄
 
Huo udaktari wenyewe alipewa mezani. Hao wote wahuni tu.
 
Rubbish thread
Kwa wale wapenda mabadiliko wenzangu nchini, udhaifu, migogoro na ubaya wa CCM kamwe hautufanyi sisi kuwa imara, Hayo ni yao ndani ya Chama chao. Tushugulike na mambo serious ya Taifa. Uchumi ,Demokrasia , Utawala bora na Uhuru wa kujieleza.

Lawama zote kwa John
 
Unajua kwa nini alisema anapenda sana kuangalia SHILAWADU?
 
Back
Top Bottom