Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,731
- 3,628
Baada ya Kenya na Uganda kufuzu Mapema kwenda hatua inayofauata ya michuano ya AFCON2019, leo Burundi nayo imeungana nao kwa kufuzu baada ya kutoa sare dhidi ya Gabon! Ikumbukwe Burundi haijapoteza mchezo hadi sasa.. Huku jirani zao Rwanda wakihitimisha mechi za kundi lao kwa kipigo na kubakia mkiani.
Tunaiombea Taifa Stars pia isonge mbele kuungana na wana Afrika mashariki wenzake Kenya,Uganda na Burundi!
Sent using Infinix Hot 5
Tunaiombea Taifa Stars pia isonge mbele kuungana na wana Afrika mashariki wenzake Kenya,Uganda na Burundi!
Sent using Infinix Hot 5