MC Chere
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 586
- 400
Leo akiwa Chato kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM,amepanda jukwani kuwarubuni mashabiki wake kwa tungo za kuipamba CCM.
Kwanza niseme kuwa,huyu bwana nilikuwa ninamheshimu sana kutokana na tungo zake mahiri na hata za kuponda serikali,rejea Propaganda.
Pili,wasanii wengi wanaojikita katika misingi ya hip hop ni wanaharakati wanaotaka mabadiliko hivyo ni wafuasi wa UKAWA ambalo ni tumaini pekee la Watanzania.
Hivyo kwa hadhi/level yake kiukweli ameshusha hadhi kwani amesalimu amri kwa kuwa kuna mil 50.
Taratibu naanza kutafakari upya juu ushabiki wangu juu yako maana kila kwenye mpambano na Joh Makini daima nilikuweka namba 1 lakini you are no more valuable.