Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

Fiq q anajina kubwa ila kuimba hatujui mi sijawahi kuona uzuri wa nyimbo zake kiukweli kwa weusi haingii hata robo.

nimeshapiga sana makimba jukwaani siogopi vitisho

ila siamin katika huu mkutano nimetoa kimba peke yangu

tulikubaliana wote tutoe makimba mbona mmeniacha pekeyangu

leo mmekuwa wasaliti jukwaa la kampeni natoa kimba peke yangu

viva kimba viva oyooooo viva kimba vivaaa
 
Mleta mada Kilaza tuu ujitambui unachoOngea... Nani kakwambia Ukawa ndio watakuletea mabadiliko katika maisha yako? Jipange mwenyewe Kilaza mabadiliko yanaaza na wewe mwenyewe.
 
Fid ni mgumu m.a.v.i ndo maana kuna wakati alikuwa anajichubua, watu walipokuwa wakimuhoji akawa anadai 'ukijichubua haimaanishi unaukimbia uafrika' kwa hiyo sio wa kumshangaa anavyopigia kampeni magamba, yule anafanya hiphop kigodoro.
 

Ndugu funguka kimawazo fid q ni mtanzania kama Wewe na ana haki ya kuchagua pumba na Michele kumnadi mgombea wa Ccm au kuinadi Ccm ni fursa aliyopata kama msanii na kama wapatavyo wasanii wengine usilinganishe uwezo ama mtazamo katika mawazo ya itikadi za chama na uwezo wa kipaji! Na hivyo inakuitaj Wewe kuamka na kuangalia wale wote unaona wanafanya vizur katika nyanja tofaut wapo tofauti na Wewe Labda nikushauli tuu kuwa tafakari na uchukue hatua ya kurud nyumbani
#HAPA KAZI TU
#MAGUFULI 4 CHANGE
 
August 13.
Simba akizidiwa hula majani;
piga bingo hilo!
Pesa kwanza..
ila kura ni siri ya mtu..
 

Mtasusa kila mtu aliye tofauti na nyie mnaishi kwa mashaka
 
Kwani lazima kila mtu achague ww unapopataka haya Leo ukimuona joh pale Arusha anatumbwiza kwa magufuli utasema nn hapa Jf acheni bhana mtu ajiamulie pakwenda halafu pale ni Bukoba sio chato kk

Watu hawaelewi kwamba tuna uhuru wa kikatiba kuamua kushabikia chama chochote.

Na sababu zinazokufanya wewe ushabikie chama fulani si lazima zimfanye mqingine ashabikie chama hicho.

Ukiniuliza mimi sioni tofauto ya kinsi gi kati ya hivi vyama vya siasa vya kibongo.

Vyote, upinzani na serikalini.

Tena na sasa hivi UKAWA wanavyochukua makapi ya CCM ndio kabiaaa wanajichanganya hata tofauti sioni kabisaaa.
 
Mi nimeshangaa mpaka muda huu, mdomo umebaki wazi, fidQ yule anayegani mashairi yanayofundisha, leo anasimama kulishabikia lipepo:what: ama kweli njaa mwanaharamu..!!
 
Mashuja hupatikana nyakati ngumu kusinge kuwa na mashuja iwapo Dunia isingekuwa inapita kwenye vipindi vigumu,kwasasa msaga sumu ni msanii aliye ongeza thamani yake kubwa Sana kipindi hiki huyu ni shujaa wa watu wenye akili
I
 
"Tuonane january" hahaha ilikuwa kampeni ya mapema sana kwa mheshimiwa february
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…