Hawa jamaa wanatamani wapinzani wao wafe..wanapenda kulalama sana na kujidai wanatoa laana!
na ndio maana najuta kuwaamini at one pint miaka miwili mitatu iliopita!hawaaamini kama wanaweza kosea,so hawawez rudi to the drawing board mambo yanapokwenda kombo.ni kama huwa wanajipulizia tu pafyum kama excuse ya kutokuoga eti sababu watanukia kwa muda huo tu.UKAWA na mashabiki wao wanazungumzia 'misimamo'???wanayo???
hata sasa hawasimamii walichokiamini na kutuaminisha since 2006 kuuhusu ufisadi na mafisadi...sana sana wameenda kuukumbatia na kumuabudu waliembatiza kama fisadi papa eti kwa excuse ''utafiti''!kama kwa ''utafiti'' taasisi unayoiamin ilishindwa kusimamia inachoamini,vipi unalaumu WEWE kulaumu alieamua kuamini anachokiamini??!BESIDES,HAKUNA ALIEWAPITISHA WAO NA WENZAO KAMA NDIO KIPIMO CHA UBORA!