Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

Wasanii hawana elimu ndogo kushinda ya Mbowe... Ujui mwenyekiti wako wa chama anazidiwa elimu ata na Kifesi?

Mkuu Mbowe anakujaje kwenye hili? Let's try to be fair japo kdg kwetu wenyewe na JF pia. This is too low and disgusting.
 
Hivi ukiwa mwanaharakati muimba hiphop ndio unakua ukawa? Basi mmeshashindwa uchaguzi
 

kaa na ujinga wako wa kufuata mkumbo wenye akili wanafanya maamuz ya kina si ya ushabiki ,
wenye akili zao timamu wanajua wanachokitaka sio udanganyifu wa mambo wasiyo yaweza ...
Vijana msiwe mbumbumbu kudanganyika tafakar maneno unayo ambiwa shda ni kua weng tunapenda kusikia tunayo yafahamu haturuhusu fikra zetu kujua jambo jipya liwe baya ama jema tumekunywa maji ya bendera ...
Hip Hop na siasa ama ukawa wap na wap???. Hujui na huna facts
 
ungejua Huko kanda ya ziwa wanavomkubalo lowassa hata usingemjibia huyu "Fid Lumumba". Btw wanahip hop halisi wenye msimamo waliobakia ni ROMA ,solothang na nay wa mitego pekee

kwa kuwa wanashabikia ukawa, hizi tafakari hizi...?!
 
Mkuu Mbowe anakujaje kwenye hili? Let's try to be fair japo kdg kwetu wenyewe na JF pia. This is too low and disgusting.

Huyo jamaa alikuwa anasema wasanii wengi elimu zao ndogo ndio nikamkumbusha mwenyekiti wa chadema Mbowe kaishia kidato cha sita..
 
Fid Q !!!!!!!!!!!!!!!!!!, alishaimba nyimbo gani tafadhari tukumbushane mana hili jina kwangu ni geni.

Achana na Fid Q, Sugu je, unamfahamu? Nae ni mwanaharakati aliepata Ubunge kupitia Chadema baada ya kuanzia kwenye Bongofleva, yuko CCM sasa hivi rasmi.
Hapa kazi tu!
 
jamaa wa ukawa bna????? axa apo kaharb nn n jukumu lake kucmamia show especialy kulngna wa2 waliomuinvite ultaka aimbe za ukawa ama???
 
Kama mashabiki wenyewe vichwa vya mende kama nyinyi hamfai kumshabikia mtu kama Fid so hamkuwa sehemu sahihi(sidhani hata kama mlikuwa mnamuelewa),kashabikieni hao vilaza wa aina yenu.

Ni upumbavu kushabikia mabadiliko bila kujua kama yatakuwa hasi au chanya maanake mnakaririshwa tu mabadiliko as if kila mabadiliko lazima yawe positive.

Akiwasikiliza mashabiki wehu kama nyinyi,mtamchagulia hadi DINI.

Wanaharakati wa kweli hupigania mabadiliko chanya kwa jamii siyo mabadiliko tu.
 
Mimi siipendi CCM lakini nadhani si afya kumchagulia mtu a support chama Fulani, na kama hii ndio case basi hakuna maana yeyote ya kuwa na vyama vingi ! upinzani tuoneshe mfano kwa kuwashawishi walioupandekinzanikuja huku .
Fid Q na mtu mwingine yeyote awaye yuko huru kusuport chama chochote iwe kwa maslaha yake binafsi(kama kaajiriwa kufanya propaganda hata kama haiamini propaganda hiyo) au kwa ajili ya mapenzi yake kwa chama hicho akiamini ni maslaha ya taifa lake.
Wapinzani tupo kwa sababu CCM ipo ,wapeni uhuru watu na muwateke kwa hoja si kwa mashinikizo tutaharibu!
 
Tatzo la wasanii wetu wana njaaa sana, ndo maana wanashindwa kusimamia hata misimamo Yao. Poor Fid Q
 
Mitoto mingi humu haijui hip hop ni nini.hip hop ni ukomboz na kuishi maisha ya kweli,unapokea hela halafu unashiriki kupotosha umma,hiyo labla hip hop ya chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…