Hadi Jumamosi Saa 8 Mchana sijasikia TANZIA yoyote au Tukio la Kimajonzi USM Alger FC watakuwa Mabingwa CAFCC 2022 / 2023

Hadi Jumamosi Saa 8 Mchana sijasikia TANZIA yoyote au Tukio la Kimajonzi USM Alger FC watakuwa Mabingwa CAFCC 2022 / 2023

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua.

Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259 Hopeless and Useless Passenger Team kanitonya kuwa Usiku wa Kuamkia Mechi yao ya Temeke Mvua Stadium walituma Watu wao Watatu wakisaidiwa na Mfanyakazi Mmoja wa Hotel waliyofikia Wababe wao ili wakafanye Unyangindo ( Urogaji ) na walichokikuta katika Chumba cha Mikutano cha hiyo Hotel Saa 8 Usiku kikiwa na Wachezaji, Viongozi na Afisa Ubalozi wao Mmoja walishikwa na butwaa, kuwa Wapole na wakaenda kutoa Ripoti kwa Waliowatuma kuwa Wanafungwa na Wakafungwa Kweli.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi hasa katika Mada zao hapa na uniachie wale Werevu na Wanaonielewa waendelee Kunisoma, Kuhahabarika, Kuelimika, Kunyetika Kitaarifa na Kuburudika nami vile vile.

Nimemaliza.
 
Mambo haya bila wazee hayaendi 😂😂😂,mpira bila kuroga ni ngumu kutoboa 😂
Nalog off
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom