Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.
 
Kumbe mliofurahia jamaa kuitwa mvuta bangi hadharani mpo wengi!
 
Kumbe mliofurahia jamaa kuitwa mvuta bangi hadharani mpo wengi!

Labda nikusaidie tu wapo Watu wengi tena wakivuta Bangi / Bange ndiyo wanafanya Mambo mazuri na ya Kimaendeleo na siyo Mpuuzi wenu huyu.
 
Pole sana Popoma, kipigo cha Mbasha kimekugusa

Mimi Mbasha hanihusu ila kama mwana Tasnia naegemea mno katika Kanuni na Maadili ya Mhusika / Wahusika. Adam Mchomvu 'Kaibaka' Tasnia.
 
Hivi huyu Mchomvu inaelekea alizaliwa na kukulia kule jimboni kwa Nape au?
Nauliza tu jamani....[emoji12][emoji12][emoji41][emoji41]
 
Kwani bangi ina matatizo gani? Huoni baadhi ya nchi zimeihalalisha? Na huoni mbunge aliyemaliza mda wake wa geita vijijini bwana msukuma alivyokuwa anaitetea hoja ya kuihalalisha bungeni?

Kumbe mliofurahia jamaa kuitwa mvuta bangi hadharani mpo wengi!
 
Aliomba radhi na pia kasema atatiimaagizo alyopewa na IGP na viongozi wengine wa serikali.
Labda kaitwa na kuna hatua atachukuliwa, community service pia ni hatua nzuri si lazima waje watangaze kwenye media.

Hapana naanza kuona 'Double Standards' nina uhakika lile Tamasha lingekuwa la Wapinzani jana ile ile angehukumiwa. Tunataka aadhibiwe upesi.
 
Back
Top Bottom