Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Atakuja kula kwako sasa, CMG kule Ni majanga rungu limeshuka na of course litakuwa limeathiri salary slip za watu...Hapana naanza kuona 'Double Standards' nina uhakika lile Tamasha lingekuwa la Wapinzani jana ile ile angehukumiwa. Tunataka aadhibiwe upesi.
Wewe kama nani nchi hii?
Useless post
Na wewe punguza wenge, akiachishwa kazi familia yake itakula kwako ?
Mbona rais wako anatukana watu wazima hadharani lakini hupigi kelele achukuliwe hatua ?Kwahiyo Familia yake husika ndiyo imemfundisha Kuvuta hiyo 'Mibange' yake na 'imabariki' kabisa hata ule 'Upumbavu' wa Jana kwa Watanzania?
Dogo tuliza mshono.Kwahiyo Familia yake husika ndiyo imemfundisha Kuvuta hiyo 'Mibange' yake na 'imabariki' kabisa hata ule 'Upumbavu' wa Jana kwa Watanzania?
Mbona rais wako anatukana watu wazima hadharani lakini hupigi kelele achukuliwe hatua ?
Acha double standard.
mwamba ame-make history,Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.