Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 81
- 231
😃😃😃 mkuu kwenye kusoma historia ya marehemu wangehitimisha... Marehemu amekufa kwa sababu ya kipochi...demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm. ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Siku force ilikuwa njama niliingia cha kikeHeb ngoja ..kwani ulikuwa unamforce mfanye naye mapenzi... anyway dada angu Binti wa zamani hebu njoo huku Kuna kikao cha dharura
Wee mchukie huyooo wa kwako.. wanawake wengine wanaingiaje hapo?Wanawake na wachukia mno.
Kwanini unahisi ni njama? Hiyo 800k na wao wamepatamo?Siku force ilikuwa njama niliingia cha kike
Pole sana mdau... Inaonekana huyo manzi alikuwa hakupendi hata kidogoSiku force ilikuwa njama niliingia cha kike