Hadi kifo sitawai oa wala kuwa na mchumba

Hao polisi na raia ni 18- ?...Mtu anakujaje kwako chumbani halafu umbake! kwenye maelezo alisema kaja kufanya nini, ni ndugu yako? ni mwenye nyumba kaja kudai kodi ama anauza vyakula?
 
If it was for real basi huyo mwanamke ni wa kukaa naye mita 100.
 
Mfungulie mashtaka huyo demu,hata usiposhinda utamkomesha kisaikolojia na kitendo cha kuitwa police na mahakamani kwenye kesi anaweza kujichanganya akasema kila kitu,usimwachie kama unaamini was a set up utasaidia wengi na kukomesha hawa wahuni
NAUNGA MKONO HOJA HII
 
Huyo ndo mwenyewe sasa imagine mkiwa bar amelewa akukute na dem shengesha lake😂

Mungu wangu yule anaweza kukuua alaf hizo sababu zilizo sababisha anifanyie hayo ni za kijinga sana hata sio za mm kucheat
 
Mungu wangu yule anaweza kukuua alaf hizo sababu zilizo sababisha anifanyie hayo ni za kijinga sana hata sio za mm kucheat
Duhh ulifanya kitu gani hicho mpaka atake kukupasua na glass🙆🏽‍♀️
 
Mimi naamini hii ni chai...

Huwezi kamatwa kwa kosa la kubaka kwa mwanamke zaidi ya miaka 18, aliyekuja nyumbani kwako...

Dawati la jamii lilipaswa kumaliza hiyo kesi kama ni tukio la kweli...
 
Na bado
 
Pole mkuu
Uzuri Mungu anaona atakuja kujutia sana
 
Beki karudisha pasi ya hovyo kwa kipa sijui itakua kona au kipa atajifunga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…