Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
A palliative nurse has recorded the top five regrets of the dying. Photograph: Montgomery Martin/Alamy.
utashangaa kufahamu ya kuwa watu ambao wanakaribia kufa majuto yao hufanana na wengi wao hujutia kutumia muda wao mwingi kufurahisha wengine badala ya kufurahisha nafsi zao, na kufanyakazi kupita kiasi hata kutoa zaka furaha ya maisha yao. Kwa kifupi kuendesha mambo yao kwa kutanguliza matakwa ya wengine badala yao ndiyo huwa sikitiko lao kubwa kulikoni yote.
Sasa, hadi hivi sasa ni jambo lipi au yepi ambayo unayajutia kwa kuyafanya au kwa kushindwa kuyafanya mara nyingi kwa minajili ya kufurahishi wengineo badala ya nafsi yako mwenyewe?
kwa ufafanuzi zaidi jisomee hiimakala nimeikuta kwenye mtandao.........
Top five regrets of the dying
A nurse has recorded the most common regrets of the dying, and among the top ones is 'I wish I hadn't worked so hard'. What would your biggest regret be if this was your last day of life?