Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
Nikishajuta ntapata nini?
I have NONE.
Sasa ntakumbukaje majuto ambayo sikuwahi kuwa nayo?hutakiwi kujuta ila kukumbuka majuto yako, Lizzy.......na utakachopata ni pamoja na kuutua mzigo wa majuto kwa kuongelea bila zengwe...............pili ni nafasi ya kujifunza ili usirudie makosa yaleyale..........na tatu ni unyenyekevu kuwa mwanadamu siy mkamilifu sote huwa tunateleza...............ila unaposema huna majuto basi siyo mkweli kwa sababu hakuna mwanadamu ambaye ni mkamilifu................
Najuta kuolewa na mwanaume muhuniiiiiiiiiiiiiiiii,
mwisho wa siku nimebaki nalea watoto pekee yangu,
ni mwaka wa kumi na mbili sasa niko alone, kabisa,
mtoto wa mwisho niliondoka naye akiwa mdogo sasa ndo anaingia fomu five, My God, uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
living comes after earning your credentials through learning the hardway..............but being willing to repeat the same errors once again if given another second chance is a sign of madness beyond belief.................we have to learn to swallow our bloated ego and change our ways for the better....................they say there is no better teacher than experience............
Kudos,
Lakini nadhani badala ya kujuta inabidi ujipongeze kwa ujasiri na kuwa strong na kufanya jambo peke yako ambalo wengine hata wawili wanashindwa.., nadhani hapa badala ya kujuta ni kufurahia uvumilivu na ujasiri wako.
Success should be measured not so much by the position than one has reached in life, but obstacles which he/she has overcomed to reach that position.
To me your a hero
Najuta kuolewa na mwanaume muhuniiiiiiiiiiiiiiiii,
mwisho wa siku nimebaki nalea watoto pekee yangu,
ni mwaka wa kumi na mbili sasa niko alone, kabisa,
mtoto wa mwisho niliondoka naye akiwa mdogo sasa ndo anaingia fomu five, My God, uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Najuta kuolewa na mwanaume muhuniiiiiiiiiiiiiiiii,
mwisho wa siku nimebaki nalea watoto pekee yangu,
ni mwaka wa kumi na mbili sasa niko alone, kabisa,
mtoto wa mwisho niliondoka naye akiwa mdogo sasa ndo anaingia fomu five, My God, uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
kweli unastahili pongezi hongera dada,ww ni mwanamke shupavu,Mungu awajalie wanao wafike mbali zaidi ya form five na six.
Asante sana kwa hilo.
anayeingia form five ndo wa mwisho,
wa kwanza ameshamaliza chuo kikuu,
wa pili yeye hakupata elimu nzuri sana ila anafanya shughuli ndogo ndogo,
wa tatu yuko cbe.
najuta kunenepa.
zamani nilikua mwembamba sana,nikawa natamani kunenepa,unene ulipoanza kuja nikawa nafurahia hips na wowowo zinavyoongezeka nikajiachia tu lakini Sasa hivi kila nguo ninayovaa naonekana kama natega watu lakini zamani nguo hazikuleta tabu.
sasa hivi natamani kurudia wembamba lkn naogopa nikirudia ule wembamba wataanza kudai naumwa.
woow,kwa kweli dada utakua unamkufuru Mungu ukisema unajuta.
Huwezi jua labda ungeendelea na baba yao wanao wasingefika huko walipofika.
Kwa kweli kuanzia leo nitakua nakuheshimu sana,nimekupenda,umenivutia,Mungu anisaidie niwe kama wewe sbb duniani kuna mengi,japo mim bado ndo kwanza natarajia kuwa mama kwa mara ya kwanza na niko na mwenzangu lakini huwezi kujua,hata asiponiacha anaweza akafariki na kuniacha na watoto,hapo ndio nitakapohitaji kubarikiwa ujasiri uliobarikiwa wewe.Asante kwa kutuhadithia,imenivutia sana.
woow,kwa kweli dada utakua unamkufuru Mungu ukisema unajuta.
Huwezi jua labda ungeendelea na baba yao wanao wasingefika huko walipofika.
Kwa kweli kuanzia leo nitakua nakuheshimu sana,nimekupenda,umenivutia,Mungu anisaidie niwe kama wewe sbb duniani kuna mengi,japo mim bado ndo kwanza natarajia kuwa mama kwa mara ya kwanza na niko na mwenzangu lakini huwezi kujua,hata asiponiacha anaweza akafariki na kuniacha na watoto,hapo ndio nitakapohitaji kubarikiwa ujasiri uliobarikiwa wewe.Asante kwa kutuhadithia,imenivutia sana.
Najuta kuolewa na mwanaume muhuniiiiiiiiiiiiiiiii,
mwisho wa siku nimebaki nalea watoto pekee yangu,
ni mwaka wa kumi na mbili sasa niko alone, kabisa,
mtoto wa mwisho niliondoka naye akiwa mdogo sasa ndo anaingia fomu five, My God, uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Sasa ntakumbukaje majuto ambayo sikuwahi kuwa nayo?
Unashangaza kweli kunilazimisha kuwa na majuto wakati sinayo. . . wewe kama unayo hongera (iwapo yanasaidia)/pole (iwapo yanaongeza tu msongo wa mawazo). Swala la kuwa au kutokua mkamilifu huwezi nipimia kwa vipimo vyako hivyo mimi kama mimi najiona nimekamilika. .mimi niko vile Mungu alivyokusudia niwe hivyo sina cha kujutia.
Kudos,
Lakini nadhani badala ya kujuta inabidi ujipongeze kwa ujasiri na kuwa strong na kufanya jambo peke yako ambalo wengine hata wawili wanashindwa.., nadhani hapa badala ya kujuta ni kufurahia uvumilivu na ujasiri wako.
Success should be measured not so much by the position than one has reached in life, but obstacles which he/she has overcomed to reach that position.
To me your a hero
wewe ni She?mmmh, majuto?
Si wanasema majuto ni mjukuu?
Mie bado kigori sina hata mtoto.
Lakini ujue baada ya ndoa kwisha ilibidi niache pombe na
mambo mengine yote, nikiofiya nitawahi kuondoka niwaache
watoto, ndo nimeona Mungu akinivusha
hatua moja kwenda nyingine.