hadi leo maishani mwako una majuto yoyote?

du! Jasmine inaonekana una machungu hatari.Pole sana,mimi nakushauri uangalie mbele uendako,achana na historia,nini virginity bana wengine wanaivunjia kwenye michezo,songa mbele mtoto wa kike achana na historia na Mungu atakupa haja ya moyo wako.Walaghai tuko wengi mjini we tusamehe bure tu ni udhaifu wetu wa kuzaliwa.
 
asante kwa kunitia moyo,
sipendi itokee siku uwe pekee yako,
Mungu awatunze tu wote kwenye ndoa yenu,
nawapenda wote.

every thing has a reason.............kuna mambo mengi ambayo ungelikuwa na huyo jamaa yangelikukuta na Mwenyezi Mungu alichofanya ni kukulinda........
 
usijali Mam,bora salama,yote ni maisha (ce la vie)
 
Lizzy bana........haya....
 
kwenye red mkuu,ina maana kama ulipiga bila kondom ukaukwaa given an opportunity ungerudia kamchezo hako hako ka kupiga kavu kavu?
 
kweli unastahili pongezi hongera dada,ww ni mwanamke shupavu,Mungu awajalie wanao wafike mbali zaidi ya form five na six.

form six tu? siyo wapate elimu yote wanayoihitaji katika kumudu maisha yao?.......I believe the sky is the limit....
 
Asante sana kwa hilo.

anayeingia form five ndo wa mwisho,
wa kwanza ameshamaliza chuo kikuu,
wa pili yeye hakupata elimu nzuri sana ila anafanya shughuli ndogo ndogo,
wa tatu yuko cbe.

wanatakiwa washikamane na kusaidiana............tatizo watoto wengine wakifanikiwa husahau walikotoka.........tuendelee kusali washikamane hadi mwisho........
 


wembamba wa kuhisiwa unaumwa unajulikana lakini usije ukawa kama wale wazee kwenye main story ambaokabla hawajafa walijutia kutumia muda wao mwingi kufurahisha watu wengine badala ya kujali furaha zao binafsi...........jiulize hao unaowaogopa ukianza kuumwa leo kutokana na afya kudorora kwa ajili ya huo unene wangapi watakuja hospitalini kukuangalia?..........jibu litakushangaza.....p;unguza uzito na ufaidi maisha............miaka 3 iliyopita nilikuwa na kilo 90 leo nimepunguza mlo kwa maana ya calories na kufanya mazoezi kila siku situps 100 na sasa nina kilo 70.......and i feel great than ever be4...........be yourself and do the thing you feel it is most important in your life............waache waseme lakini usiku watalala............
 

mara nyingi huwa tunazama kwa yale tuliyoyakosa bila ya kuangalia baada ya kuyakosa yale mwenyezi Mungu katujaalia na yapi?..we tend to take for granted what we have.........
 
nilijua kupenda ni mara moja tu,
mwenzangu alikuwa ameshaigawa roho vipande vipande
na baada ya hapo pia hakuweza kuacha
mwisho akanitolea nguo chumbani kwa kuwa alipata
dada wa mmoja pale mbalizi mbeya
balozi, wazee wa kanisa, wachungaji walishindwa kupata suluhu
kwa kuwa hakutaka kukutana nao.

mwisho nikaona acha niisalimu roho yangu na ya watoto
na ndio mpaka leo, but nashukuru Mungu niko vizuri na watoto.

ulimpendea nini na kwa nini alikuacha? Hivi sasa yuko mpweke naye?
 

Huyo kama ungelikuwa naye hadi leo ungelikuwa na maisha mabaya sana na Mwenyezi Mungu katumia busara zake zisizo na kikomo kumwondoa kwenye maisha yako ili kukunusuru wewe na familia yako.........Tuendelea kumtukuza Mwenyezi Mungu naye atatusikiliza................Soma 1 Samweli 2:33 ".............I honour those who honour ME, but those who despise ME shall be lightly esteemed."

Kwa hiyo tukimtukuza Mwenyezi Mungu kwenye fikra na matendo yetu hatatuangusha kama anavyosema kwenye Roman 10:11 For the scriptures says, "Whoever believes in Him will not be put to shame."

Farijika sana kwa sababu mipango ya Mwenyezi mungu haina makosa. Na hii ni kauli yake mwenyewe Mwenyezi Mungu pale anaposema kwenye PROVERBS 3:5-6 Trust in the LORD with all your heart, and lean not on your own understanding; In all your ways, acknowledge Him, and He shall direct your paths."...................
 
kwenye red mkuu,ina maana kama ulipiga bila kondom ukaukwaa given an opportunity ungerudia kamchezo hako hako ka kupiga kavu kavu?
Labda kuukwa kwangu kumenifanya niwe a better person, labda nisingeukwaa ningeendelea na tabia ya kupiga piga na mwisho wa siku kuvunja ndoa za watu na mimi kushikwa ugoni.

Lakini haujanielewa ni kwamba mimi binafsi all I have done until now sija-regret sababu I have been a good person to the best of my ability (mimi binafsi) I don't mean kwamba even Hitler if given another chance should kill Jews again, hapana kwahio hata kama mimi ningeishi maisha ya Hitler if given another chance I would have tried kuishi maisha ya Gandhi
 

Though God is perfect bado ana majuto ya kumwuumba shetani na mwanadamu........shetani adhabu yake ni mauti ya milele.......mwanadamu aliletewa gharika ya Noah, maafa ya Sodom and ghmorah..........na magonjwa yasiyo na tiba............lazima unamajuto mengi tu ila umeamua kutuficha.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…