Hadi leo wajerumani hawajarejesha fuvu la Mangi Meli kwanini?

Hadi leo wajerumani hawajarejesha fuvu la Mangi Meli kwanini?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Hivi serikali ya Tanzania wamefanya juhudi gani kuishinikiza ujerumali warudishe mafuvu ya viongozi wetu?

Hadi leo nahisi Mangi Meli bado roho haijapumzika kwa amani serikali yetu haijafanya juhudi zozote hadi sasa.

Tunaomba mafuvu ya wamangi wote yalochukuliwa na wakoloni yarudishwe tuwape maziko ya heshima na ya kimila hao ndugu zetu.

Pichani ni mangi mengi ambaye alinyongwa na wajerumani mwaka 1900 waliondoka na fuvu lake hadi leo hawajarudisha.
1681411519813.jpg
1681411577249.jpg

1681411466115.jpg
 
Back
Top Bottom