kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 9,846 Reaction score 20,319 Apr 13, 2023 #1 Hivi serikali ya Tanzania wamefanya juhudi gani kuishinikiza ujerumali warudishe mafuvu ya viongozi wetu? Hadi leo nahisi Mangi Meli bado roho haijapumzika kwa amani serikali yetu haijafanya juhudi zozote hadi sasa. Tunaomba mafuvu ya wamangi wote yalochukuliwa na wakoloni yarudishwe tuwape maziko ya heshima na ya kimila hao ndugu zetu. Pichani ni mangi mengi ambaye alinyongwa na wajerumani mwaka 1900 waliondoka na fuvu lake hadi leo hawajarudisha.
Hivi serikali ya Tanzania wamefanya juhudi gani kuishinikiza ujerumali warudishe mafuvu ya viongozi wetu? Hadi leo nahisi Mangi Meli bado roho haijapumzika kwa amani serikali yetu haijafanya juhudi zozote hadi sasa. Tunaomba mafuvu ya wamangi wote yalochukuliwa na wakoloni yarudishwe tuwape maziko ya heshima na ya kimila hao ndugu zetu. Pichani ni mangi mengi ambaye alinyongwa na wajerumani mwaka 1900 waliondoka na fuvu lake hadi leo hawajarudisha.
KING KIGODA JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 3,893 Reaction score 3,145 Apr 19, 2023 #2 Sijui ni kwa nini pia!.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Apr 19, 2023 #3 Likija tupike supu?
Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 Apr 19, 2023 #4 ntarudi kuchangia zaidi baadae