Hadi muda huu hatujapiga kura za maoni, Tumeambiwa tusubiri ati nyaraka husika kutoka CCM kata zinaandaliwa na zisambazwa muda wowote kuanzia sasa!

Hadi muda huu hatujapiga kura za maoni, Tumeambiwa tusubiri ati nyaraka husika kutoka CCM kata zinaandaliwa na zisambazwa muda wowote kuanzia sasa!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Moderator nikuombe uhamishe Uzi huu jukwaa la siasa


Wadau hamjamboni nyote?

Leo ni siku ya kupiga kura za maoni kwa Wanachama wa CCM nchi nzima


Hadi muda huu hatujapiga kura za maoni, tumeambiwa tusubiri ati nyaraka husika kutoka CCM kata zinaandaliwa na zisambazwa muda huu!

Wadau hamjamboni nyote?

Hadi muda huu tunasubiri kupiga kura za maoni kuchagua wagombea wa chama chetu cha CCM watakaotuwakilisha kwenye uchaguzi Serikali za mitaa mwezi ujao.

Ndiyo tunatangaziwa na mwenye mamlaka kuwa makaratasi kwa ajili ya kupigia kura za maoni bado hayajaletwa kutokea ofisi za kata hivyo wametuomba tuvute subira

Kwamba kwa bahati mbaya maandalizi hayo hayakukamilika kwa wakati

Naona baadhi ya wajumbe wamekereka, kuchukizwa, kushangazwa huku wengine wakiomba uchaguzi huu wa ndani uahirishwe hadi maandalizi kamili yatakapokamilika.


Pamoja na yote hayo yote Mimi binafsi bado naipenda CCM

Niwatakie siku njema
 
Back
Top Bottom