Nachukia mambo ya kulala wawili,godoro dogo tu nimeletewa mgeni nilale nae mwingine analala upande wa juu mwingine wa chini usiku wakati wa kulala ukigeuka tu unakutana na miguu usoni nusu ikuingie mdomoni ukute mtu alioga asubuhi usiku ukimwambia akaoge anadai amechoka analala ivyo ivyo jamani!!
Unabaki unanusa vumbi la unyayo usiku kucha Shida kweli yani hapa natamani arudi kwao Leo siku ya tano tunanyosheana miguu usoni mimi namnyoshea yeye ye ananinyonyeshea Mimi ili tubalance godoro!!
Vipi wewe ushawahi kutana nayo?