Hadi sasa hakuna shabiki wa Simba aliyeilalamikia TFF, Yanga mna la kujifunza

Yanga wakikaribia derby yoyote huwa kama hawaelewani huwa hamshituki tuuu.

kuna focus mnapotezewa.
 
Bosi wa GSM alishasema kuwa Yanga isipotwaa ubingwa aulizwe yeye - Sio Karia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…