Haya haya, naona hazipishani na kura zilizoendeshwa hapa JF...Na kwa nini JF wamezifunga?
Unajua Mkuu Steve, Daily News wanachekesha kweli kweli kwani ni kama vile wako embarrassed na matokeo ya polls wanazozianzisha wenyewe. Ni vigumu kuamini kuwa Daily News inaendeshwa kwa kodi za wananchi, yaani akina Makwaia wamekuwa kama wasemaji wa CCM - angalia leo anavyojaribu kuuma na kupulizia kuhusu mambo ya kihuni yaliyojitokeza katika kura za maoni ndani ya CCM. Kila nikiifungua Daily News picha ninayoipata ni hali ya woga iliyotanda si ndani ya CCM tu bali ndani ya serikali na vyombo vyake. Hali hii kweli inanitisha kwani ni dalili ya mtu anajua atazama na tayari anapanga namna ya kufa na mtu, hayuko tayari kufa peke yake - ukweli ni kuwa CCM wanapanga kuitumbukiza nchi kwenye machafuko kama mambo yatawaendea vibaya.Za JF zilikuwa zimekaa kichadema mno !!! lol
Seriously, naona Daily News wamebadilisha poll yao baada ya ile thread ya Mag3. Maana mara ya kwanza walifanya kugeza JF tu in favor ya one and only one, Mh. Kikwete. But the masses voted in opposite regardless... but again, even now with all the change they have put in place to be an all inclusive poll, the same masses are in favor of Mh. Slaa. I wonder what REDET would make out of these polls. .... ooops, i know, i know wot they would say:... the polls recently conducted online are not resounding enuff to represent the various cross-sections of our society..!!!
This is not a scientific poll therefore I wouldn't put much stock in it...
Heck, I don't even trust so called scientific polls anyway....
From thread: https://www.jamiiforums.com/international-forum/8653-us-election-coverage-2008-a-161.html#post298365Haya Zogby ka release poll yake leo (and he is the only one who got it right in the last election)......
Released: October 07, 2008
Reuters/C-SPAN/Zogby Poll:
Obama 48%, McCain 45% as Presidential Race Enters Final Month The three-day telephone tracking poll shows neither candidate with a clear advantage in the national horserace
UTICA, New York - The race for President of the United States remains far too close to call between Democrat Barack Obama and Republican John McCain as the contest enters its last four weeks, and with a pair of crucial debates immediately ahead, the first report of the fall Reuters/C-SPAN/Zogby daily tracking telephone polls shows.
My take: Heheheheheheheeeeeeeeee...
Haya haya, naona hazipishani na kura zilizoendeshwa hapa JF...Na kwa nini JF wamezifunga?
Yo dude, must be off the cuffs and you probably have forgotten you uttered these:
From thread: https://www.jamiiforums.com/international-forum/8653-us-election-coverage-2008-a-161.html#post298365
'Must admit though that your stance on pretty much of this polls thing is resolute and unflinchingly coherent all over. Nonetheless, one above went unchecked and as you would expect, Stevie will always have a gud grip on...!!! lol
Na iendelee hivyo hivyo mpaka Oktoba 31. Hakuna kukata matumaini.
Hope springs eternal!Wishful thinking....
Hope springs eternal!
Christopher Mtikila – Democratic Party (DP) 1 votes. (0.87 %)
Dr Wilbroad Slaa – CHADEMA 77 votes. (66.96 %)
Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi 0 votes. (0.00 %)
Ibrahim Lipumba - CUF 2 votes. (1.74 %)
Jakaya Kikwete - CCM 29 votes. (25.22 %)
Jimmy Mshana - Chama cha Demokrasia MAKINI 0 votes. (0.00 %)
Mutamwega Mugahywa – TLP 0 votes. (0.00 %)
Paul Kyara - SAU 1 votes. (0.87 %)
Peter Mziray - APPT-Maendeleo 0 votes. (0.00 %)
Richard Kiyabo - National Reconstruction Alliance 5 votes. (4.35 %)
Total votes: 115
DailyNews Election Portal | Its all about election
Wazee hii hali mnaionaje si kwamba nyota njema huonekana asubuhi.
hawezi kuingia, tuwe realistic... anachotakiwa ni ku-target 30-40% parliamentary representation, hiyo ndio sustainable move towards a strong government.... [yani umeshasahau, wizi, na vitisho??? CHINA IS ON THE WINGS]tusirelax na kuona kuwa Dr Slaa ndo keshaingia madarakani, Nguvu ya kweli inatakiwa sasa hili hiyo poll iwe na maana halisi
hawezi kuingia, tuwe realistic... anachotakiwa ni ku-target 30-40% parliamentary representation, hiyo ndio sustainable move towards a strong government.... [yani umeshasahau, wizi, na vitisho??? CHINA IS ON THE WINGS]
KUmbuka procurement ya ballot papers tayari ...YOU KNOW WHAT I MEAN!!!
Hope without a plan is nothing more than a wish..
tusirelax na kuona kuwa Dr Slaa ndo keshaingia madarakani, Nguvu ya kweli inatakiwa sasa hili hiyo poll iwe na maana halisi
This is not a scientific poll therefore I wouldn't put much stock in it...
Heck, I don't even trust so called scientific polls anyway....
plan without hope is like a deseased bodyHope without a plan is nothing more than a wish..