This is not a scientific poll therefore I wouldn't put much stock in it...
Heck, I don't even trust the so called scientific polls anyway....
Za JF zilikuwa zimekaa kichadema mno !!! lol
This is not a scientific poll therefore I wouldn't put much stock in it...
Heck, I don't even trust so called scientific polls anyway....
Wewe unajua tofauti ya polls na electionsJamani kura 115 kati ya wapiga kura 10 million na zaidi (haya ni makadirio yangu) zinatutoa macho!!! Nadhani bado-ni mapema mno kusema chochote! Juzi nilizungumza naa mgombea mmoja wa ubunge wa nyanda juu kusini toka Chama Tawala. Yeye anasema amepita kila kijiji cha jimbo hilo na hakuona hata dalili ya kuwa kuna kitu kinachoitwa Upinzani !! Kama upinzani haujatengeneza mfumo unaofika mpaka vijijini tangu 1992, je wataweza sasa mpaka OCT 30? Kukosa mfumo unaofika huko ni kosa na halitoi matumaini ya kuleta siasa za ushindani. Cha kufanya sasa labda wapinzani wafanye tathmini ya wapi wanaona wana nguvu na wawekeze juhudi zao kwenye maeneo hayo, bila shaka kwa mkakati kama huu au ya namna hiyo (selective) ndio angalau kutakuwa na matokeo ya kuridhisha !
Christopher Mtikila Democratic Party (DP) 1 votes. (0.87 %)
Dr Wilbroad Slaa CHADEMA 77 votes. (66.96 %)
Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi 0 votes. (0.00 %)
Ibrahim Lipumba - CUF 2 votes. (1.74 %)
Jakaya Kikwete - CCM 29 votes. (25.22 %)
Jimmy Mshana - Chama cha Demokrasia MAKINI 0 votes. (0.00 %)
Mutamwega Mugahywa TLP 0 votes. (0.00 %)
Paul Kyara - SAU 1 votes. (0.87 %)
Peter Mziray - APPT-Maendeleo 0 votes. (0.00 %)
Richard Kiyabo - National Reconstruction Alliance 5 votes. (4.35 %)
Total votes: 115
DailyNews Election Portal | Its all about election
Wazee hii hali mnaionaje si kwamba nyota njema huonekana asubuhi.
soma post # 15 sio kulalamikia watu tu hapaWewe unajua tofauti ya polls na elections
Mkuu leo vipi, umeamka vibaya nini? ("the" missing, "in" has to be replaced by "on")
naomba ufafanue hii sentensi "za JF zimekaa kichadema" unamaanisha nini????
Je kama kikwete ndio angekuwa amepata kura nyingi JF ungesema zimekaa kiccm...
daily news walikuwa hawataki kumshindanisha kikwete na slaa kwa ajili walikuwa wanajua watu watamvotia nani
hata ukiweka poll kwa michuzi bado slaa atashinda
hali ya upepo imebadilika sana, watu wote maofisini wanamwongelea slaa, na hawa watu ndio watumiaji wakubwa wa internet kwa hiyo wakipiga kura online slaa atashinda tu regardless of the website.....
Je za daily news hazijakaa kichadema, au kwa ajili ni website ya gazeti la serikali
Bila shaka niliweka 'lol' baada ya sentensi yangu. Kisha nikabadili gia nakusema, yafatayo ni serious. Meaning yaliyopita katika post hiyo sikuwa serious nayo.Za JF zilikuwa zimekaa kichadema mno !!! lol
Seriously, naona Daily News wamebadilisha poll yao baada ya ile thread ya Mag3. Maana mara ya kwanza walifanya kugeza JF tu in favor ya one and only one, Mh. Kikwete.
There is no need habari ndiyo hiyo kama una cha zaidi wapigie dailynewssoma post # 15 sio kulalamikia watu tu hapa
Jamani kura 115 kati ya wapiga kura 10 million na zaidi (haya ni makadirio yangu) zinatutoa macho!!! Nadhani bado-ni mapema mno kusema chochote! Juzi nilizungumza naa mgombea mmoja wa ubunge wa nyanda juu kusini toka Chama Tawala. Yeye anasema amepita kila kijiji cha jimbo hilo na hakuona hata dalili ya kuwa kuna kitu kinachoitwa Upinzani !! Kama upinzani haujatengeneza mfumo unaofika mpaka vijijini tangu 1992, je wataweza sasa mpaka OCT 30? Kukosa mfumo unaofika huko ni kosa na halitoi matumaini ya kuleta siasa za ushindani. Cha kufanya sasa labda wapinzani wafanye tathmini ya wapi wanaona wana nguvu na wawekeze juhudi zao kwenye maeneo hayo, bila shaka kwa mkakati kama huu au ya namna hiyo (selective) ndio angalau kutakuwa na matokeo ya kuridhisha !
Lakini pia tusisahau kuwa hii inaweza kuwa mbinu ya Serikali ya kuwavimbisha kichwa CHADEMA na kujisahau wakihisi kuwa wao ndo wanapendwa zaidi jambo ambalo litawasaidia watawala kuendelea kushikilia madaraka. CHADEMA isibweteke na matokeo haya.